Dokta Ipyana aliwakutanisha watu wengi lakini akawaacha na shauku ya kumpenda Mungu hata katika nyakati ngumu
Dr Ipyana ni mwimbaji kutoka nchini Tanzania ambaye alifahamika katika wimbo wa Niseme Nini na nyingine nyingi, jana usiku aliimba nchini Rwanda katika ukumbi wa...